• Seynation Updates

    Sunday, 22 January 2017

    DILI AFTER DILI. DIAMOND ALAMBA MCHONGO MWINGINE MNONO WA MAMILIONI.

    Diamond Platnumz ametoka kusaini endorsement deal nyingine inayovujisha udenda mdomoni (mouth-watering deal).
    Mambo yote yamefanyika Ijumaa hii kwenye ofisi zake. Wakati Donald Trump akisherehekeaa kuapishwa Rais mpya wa Marekani, Chibu alikuwa makao makuu ya WCB na uongozi wake wakisherehekea kusaini deal hilo.
    “Jus Pined out! Another deal today! 🙏 Thank you God for the #Blessing,” aliandika kwenye video aliyoiweka Instagram.
    Bado haijajulikana ni deal na kampuni gani, lakini kwa sherehe hizo, hakuna shaka linaongezeka kwenye orodha ya mikataba yake minono aliyonayo ikiwemo ya Vodacom, DSTV na Coca-Cola.

    Jiunge na Seynation Media 

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI