• Seynation Updates

    Saturday 8 April 2017

    AKINA ROMA WAPATIKANA.. MAMA MONI ATOA SIRI NZITO JUU YAO

    Siku ya Alhamisi Tar 6 mwezi huu Roma, Moni na wenzake walitekwa na watu wasio julikana katika studio za Tongwe...kutokana na hali hio Bongo ilipata mshtuko wa mioyo..Hali hii iliibua slogan ya #AKINA_ROMA_WAKO_WAPI.. #FREE MONI, #FREE ROMA...

    Mke wa Roma hakua na Amani usiku na Mchana..alifanya juhudi za kila aina kumtafuta Roma huku akishirikiana na vyombo vya usalama pamoja na sapoti kutoka kwa Wasanii wa BONGO FLAVOUR....

    J"Mosi Tar 8 Roma na wenzake waliweza kuonekana wakiwa wazima..
    Kupitia tukio hilo Mama Mzazi Wa MONI alisema mazito juu ya MONI..TAZAMA VIDEO HII..

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI