• Seynation Updates

    Wednesday, 19 April 2017

    MAJIBU YA Q BOY MSAFI JUU YA TETESI ZA KUTIMULIWA WCB

    Majibu ya Q Boy Msafi Kuhusu Tetesi za Kutimuliwa WCB ndio maana ametoa wimbo wake mpya nje ya lebo hio….
    Q Boy ni miongoni mwa wasanii na wabunifu wa WCB Wasafi anayehusika na mavazi na mitindo, muonekano wa wasanii wa WCB, nguo wanazovaa kwenye video na interview zao hupangilia yeye…
    Ila pia Q Boy ni msanii aliyeanza kurekoi nyimbo zake zaidi ya miaka 10 iliyopita…
    Video kwa hisani ya : SamMisago

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI