• Seynation Updates

    Wednesday, 12 April 2017

    MSHINDI WA BIG BROTHER NIGER 'EFE' KUINULIWA KIMUZIKI NA OLAMIDE


    Boss wa lebo ya YBNL Olamide ametoa ahadi ya kumpa ushirikiano na hata colabo mshindi wa Big Brother Naija 2017 ‘Efe’.
    Saa 24 baada ya shindano hilo kuisha Olamide aliandika twitter kuwa atampa ushirikiano Efe kama ambavyo mashabiki wake walivyoomuomba.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI