Tanzania ni nchi ya ajabu sana tena sana ,,Kuna mkuu wa shule iringa huko shule ya msingi kibonzile( sina hakika na jina la shule na wilaya) kashushwa cheo kwa kosa la kuziongea changamoto za shulen kwake ,
Baada ya kuziongea wahisan wakajitokeza na kutoa misaada ya ukarabati
Lakin katika hali ya kushangaza na ujinga wa baadhi ya viongozi tulio nao ,mwana mama huyo ameshushwa cheo eti amekiuka taratibu za utumishi na afisa elimu ana jasifu bila kwa ujasiri kabisa , mbona swala la madawati liliongelewa kwa uwazi ??
Mamlaka husika mmulikeni afisa elimu wa wilaya hiyo anaye muadhibu mwalimu kwa kuwa mkweli kueleza changamoto za shule yake ili ipate kurekebeshwa na kweli wahisan wamejitolea kusaidia shule hiyo ,
HUU NI UNYANYASAJI AFISA ELIMU HUYO ANATUMIA VIBAAYA MADARAKA YAKE.
No comments:
Post a Comment