Simba imefanikiwa kupata ushindi wa kwanza dhidi ya Azam FC kwa mwaka 2017 baada ya kupoteza michezo yao miwili kati ya mitatu waliyocheza dhidi ya Azam FC kwa mwaka 2017, Simba imefanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Mohamed Ibrahim dakika ya 48 kwa kutumia vyema pasi kutoka kwa Laudit Mavugo. 29/04/2017.
Saturday, 29 April 2017
MICHEZO