Msanii anaefanya vizuri ndani ya bongo hata nje pia Diamond Platnumz aamua kuubadili muonekano wake baada ya kudumu nao zaidi ya miezi mitatu. Hitmaker huyo ambae anahit na kibao cha nikae kimya ngoma aliyoitoa wiki tatu zilizopita.
Kupitia ukurasa wa Instagram Diamond Platnumz aliamua kuyaandika haya kuhusiana na muonekano wake mpya .
@diamondplatnumzHad to change my hairstyle today... taking you to the Old Platnumz... Ready for my Heart Broken Hits!!!!
Friday, 28 April 2017
DIAMOND PLATNUMZ