• Seynation Updates

    Friday 19 May 2017

    ‘Ben Pol’ achafua hali ya hewa mtandaoni kwa Picha ya nusu utupu.

    Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol amejikuta akizua minong’ono kwa mashabiki wake na Watanzania kiujumla baada ya kuposti picha akiwa nusu utupu kwenye ukurasa wake wa Instagram .
    Kwenye picha hiyo Ben Pol hakuweka maneno yoyote yale lakini alionekana amefungwa na kamba kama mtu aliyetekwa.

    Picha hiyo iliyowekwa jana usiku mpaka sasa ina maelfu ya likes na Maoni kibao ya mashabiki wake wengi wakionekana kukerwa na kitendo hicho.
    Nini maoni yako.?

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI