• Seynation Updates

    Monday, 8 May 2017

    LIVE: Maombolezo ya kitaifa ya wanafunzi wa Lucky Vicent, Arusha

    May 8, 2017 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaongoza waombolezaji waliokusanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha kuomboleza vifo vya wanafunzi zaidi ya 30 wa Lucky Vicent waliofariki katika ajali ya gari baada ya basi walilokuwa wanasafiria kutumbika kwenye korongo.
    Unaweza kufuatilia LIVE hapa kwa kubonyeza play…

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI