UDAKU
Leo Mwanamuziki Harmonize kwenye Kipindi cha Leo Tena Cha Clouds Fm amefunguka Rasmi Baada kipindi cha muda mrefu amekuwa akikataa kuvunjika kwa Penzi lake Na Mwanadada Jackline wolper Lakini Leo amefunguka Kuwa Wameachana na Aliyekuwa Mpenzi Wake Mwanadada Jackline Wolper
Je Unamaoni Gani Mdau ???