• Seynation Updates

    Monday 1 May 2017

    LIVE: Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani – Ushirika, Moshi.

    Leo May 1, 2017 Nchi ya Tanzania inaunga na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa sherehe hizo zinafanyika katika viwanja vya Ushirika Wilayani Moshi katika Mkoa wa Kilimanjaro.
    Unaweza kufuatilia LIVE hapa kwa kubonyeza play…
    Chanzo: millardayo.com

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI