• Seynation Updates

    Saturday 1 July 2017

    HAWA HAPA WAUWAJI WA KIBITI



    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Yussuf Masauni ametangaza kuwa, Jeshi la Polisi linawaska watuhumiwa 16 wa mauaji ambayo yamekuwa yakiendelea kufanyika katika maeneo ya Kibiti, Mkuranga na Rufiji Mkoani Pwani kwa muda mrefu sasa.
    Baadhi ya majina hayo ni kama yanavyoonekana hapa.


    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Masauni amesema kuwa watuhumiwa hao wanafahamika na tayari jeshi la polisi lina picha za watuhumiwa wote ambao wanasakwa.

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI