Good News nyingine hii hapa, usiku wa kuamkia leo July 21, 2017 Waandaaji wa African Muzik Magazine Awards ‘AFRIMMA’ wametangaza list ya wasanii wanaowania tuzo katika vipengele mbalimbali kwa mwaka 2017 ambazo hujumuisha Mastaa kibao katika tasnia ya muziki wa Afrika.
Muziki wa Bongofleva haujaachwa kwenye list hiyo ambapo mastaa kutoka Tanzania Diamond Platnumz, Alikiba, Rayvanny, Tuddy Thomas, Darassa, Lady Jay Dee,Vanessa Mdee, Dayna Nyange, Yamoto Band na DJ D-Ommy wameiwakilisha vizuri.
Sherehe za utoaji wa Tuzo hizo zitafanyika House of Blues, Dallas, Texas Marekani Jumapili October 8, 2017.
TAZAMA ORODHA YA WABONGO WANAO WANIA TUZO HAPA CHINI.:-
Best Male West Africa