• Seynation Updates

    Monday 7 August 2017

    "Mimi ni mchezaji halali wa Simba, mambo mengine uwanjani". Niyonzima.


    Usiku wa August 6 2017 kiungo wa kimataifa wa Rwanda aliyejiunga na club ya Simba akitokea Dar es Salaam Young Africans Haruna Niyonzima aliwasili Tanzania tayari kwa kujiunga na wachezaji wenzake kwa ajili ya tamasha la Simba Day litakalofanyika kesho August 8 2017.
    Kuelekea Simba Day leo afisa habari wa club hiyo Haji Manara kwa niaba ya club ya Simba amemtambulisha Haruna Niyonzima mbele ya waandishi wa habari.

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI