1. Diamond Platnumz – ENEKA
2. Nandy – Wasikudanganye
3. Vanessa Mdee ft Mr P (P Square) – Kisela (katika trending ya Tanzania ni namba 8)
4. Country Boy ft Mwana FA – Turn Up (katika trending ya Tanzania ni namba 3)
5. Joh Makini ft Davido – Kata Leta (katika trending ya Tanzania ni namba 4)
Usiache kutoa maoni yako ipi ishuke, ipi ipande, ipi iweingizo jipya ndani ya hazi Tano (5) bora ndani ya Bongo.