• Seynation Updates

    Monday 13 November 2017

    VIDEO: TISHIO LA AFRIKA 'Alexander Kazimili' ALIVYO MWAGA CHOZI KWA HISIA KALI ZA MWIMBO WA 'Stay With Me..cover'

    Vijana wanne Asma, Arafat(@FuseKido), D-Music(David) na Asimwe Waliweza kujipa ujasiri na kufanya cover ya wimbo wa kikorea uitwao 'Stay With Me' katika steji ya ROCKEN HILL..
    Wimbo huu umeweza kua na hisia kali za majonzi hasa kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya ROCKEN HILL ACADEMY (Sir.Alexander Kazimili) jambo lililopelekea kutokwa kwa Machozi kwa Mkurugezi  huyo Sir.Alexander Kazimili 'TISHIO LA AFRIKA'



    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI