Rais wa WCB, Diamond Platnumz ameandika historia ya aina yake, Naivasha Kenya kwa kufanya show ya nguvu katika sherehe ya sikukuu ya kuukaribisha mwaka mpya 2018.
Muimbaji huyo akiwa na madensa wake alionekana akiwa ameujaza ukumbi wa Crayfish sehemu ambayo ilifanyika show hiyo.
“NAIVASHA!!! Can’t Stop Thanking You,” aliandika Diamond Instagram.
Angalia picha.
No comments:
Post a Comment