• Seynation Updates

    Thursday 8 February 2018

    ISABELAH SEHEMU YA 02 (SIMULIZI)





    ILIPO ISHIA NO 1
    nikama Isabelah alikuwa anamsubiri mtu flani, huku wakati wote macho yake
    yakiwa kwenye maji, akionyesha shauku kubwa ya kukiona anachokingoja
    ENDELEA.........


    Binti Isabelah alikaa sana mahali pale huku akisikiliza mtililiko
    wamaji, ya mto Matilila, pasipo kuona kitu anacho kisubiri, kiukweli Isabelah
    alikuwa mrembo sana tena vijana wapale kijijini walikuwa wameingia chuki kwa
    binti huyu asa kutokana na tabia yake ya kuwakatalia kuwa wapenzi wao,
    ilifikia kipindi ambacho wengine walitamani kumvizia ili wambake, lakini,
    waliogopa tabia ya wanga ya bibi yake Isabelah, siyo kwamba hakuwa na babu ,
    babu yake alikuwepo lakini hakuwa na sauti juu ya bibi yake, kwani hakuna
    hasie mwogopa bibi Mbuyamundu, pale kijijini na vijiji vya jilani, Isabelah
    akiwa amezama kwenye mawazo nahisia nzito, kam za mapenzi aliendelea kusubiri
    pale mtoni, mawazo yalihama nakuanza kuwakumbuka wazazi wake, ambao vifo vyao
    vilizuwa utata mpaka leo haija julikana walikufaje, maana ilikuwa ni kipindi
    cha likizo, ndipo wazazi wao wakiwa na watoto wao wawili yani, yeye Isabelah
    na kaka yake Kaoda, walitoka mjini walipokuwa wana fanya kaazi na kuelekea
    kijijini kwao Matimila, ilkikuwa ni baada ya miaka mingi sana kupita pasipo
    kwenda kuwasalimia wazazi wao, wakiwa huko kijijini walishuhudia marumbano,
    kati ya bibi yao na baba yao, kutokana na umri kuwa mdogo maana Isabela
    alikuwa na miaka mi tano na kaka yake alikuwa na miaka tisa, hivyo hakujuwa
    chanzo cha marumbano hayo, ndipo sikuchache baadae baba yao ali gongwa na
    nyoka, inavyo semekana, japo nyoka huyo hakuonekana, naukichukulia ilikuwa
    ndani ya nyumbayao, baada ya kumzika baba yao, mama yao nae, akawataka wana
    waondoke warudi mjini, jambo ambalo bibi yao alilipinga vikali, yakaibuka
    marumbano mapya, ndipo sikumoja mama yao na bibi yao walienda kuchota maji mto
    matimila, kitu cha kushangaza, alilrudi bibi peke yake , akasema mama yao
    amepotea kwenye maji, inamaana amekufa kwenye maji, na hakuonekana kabisa,
    Naam baada ya kaasana pale akiwaza, huku akisubiri anacho kijuwa yeye,
    baadae alionekana kukata tamaa, pia aliogopa kusemwa na bibi yake akaamua
    kuinuka na kuelekea ndani yamaji ya mto matimila, akaingia ndani ya maji,
    kisha akachota maji kwenye ndoo yake, nakuya weka kichwani , kisha aka
    anzakutoka kwenye maji, wakati anataka kutoaka kwenye maji mala akasikia kitu
    kina mgusa kenye mguu wake..... nikitugani kilicho mgusa Isabelah? haya wadau
    huyo ndie binti Isabelah, ilikujuwa zaidi kisa na mkasa tafadhari endelea
    kufwatilia kisa na mkasa, chakufanya Tembelea Blog hii sa SEYNATION kila siku na pia Download APP yetu hapo chini.






    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI