• Seynation Updates

    Friday 9 February 2018

    ISABELAH SEHEMU YA 03 (18+)

     

     :nakuya weka kichwani , kisha akaanza kutoka kwenye maji, wakati anataka kutoka kwenye maji mara paap akasikia kitu kina mgusa kwenye mguu wake, hapo Isabelah akaachia tabasamu la uhindi, kwani alisha juwa kile kinachoendelea, je ? una juwa  nini mdau wa SEYNATION, huyu alikuwa ni kijana YENDA, iweje atokee kwenye maji?, basi tulia nikupe mrisho nyuma wazungu wana sema (feed back) miaka mingi iliyopita Isabelah akiwa binti mdogo sana, ni wa miaka tisa, ni miaka minne tangu mama yake alipo fariki kwa

    kupotea mtoni, tukio mbalo lilimfanya binti Isabelah, kila siku asubuhi kwenda mtoni, nakukaa pembeni akizani kuwa mama yake atatokea, lakini miaka ilipita mpaka siku moja, alipo mwona mtoto mmoja wa kiume mwenye nywele nyingi za lrangi mbalimbali, akiogelea kwenye mto huo, kiukweli Isabela alivutiwa na uogeleaji wa kijana huyo, japo alikuwa akiyaogopa sana maji, akiamini ndiyo yaliyo mpoteza mama yake, Isabela aliendelea kumwangalia yule mvulana akiogelea kwa ustadi wa hali ya juu sana, kiasi cha kumfanya azidi kuvutiwa na mvulana huyu, kwaakili ya kitoto akatamani sa awe rafiki yake "Isabelah, njoo ujaribu" Isabelah alishangaa pale mvulana huyu alipo muiita kwa jina lake, "haku mii! staki, kwanza umelijuwaje jina langu?" aliuliza Isabelah, wakati akimwona yule mvulana akipiga mbizi kuja upande alipo yeye, na kuishia kwenye kingo za mto huku nusu ya mwili wake ukiwa ndani ya maji, "kwani wewe jina lako ni siri?, mbona nakufahamu tena kila siku lazima uje hapa mtoni" waliongea mawili matatu na ndipo Isabelah akalijuwa jina la mvulana huyu, kuwa ni YENDA, hapo ndipo urafiki wao ulipoanza, ikawa desturi yao kukutana hapo kila siku, kitu kilicho mshangaza Isabelah ni kitendo cha Yenda kujificha kila, anapoona watu wanakuja kuchota maji, na wanakijiji wa Matimila walikuwa wana kuja kwa makundi kuchota maji, wakiogopa mauza uza ya mto ule, walimshangaa sana binti Isabelah, tabia yake ya kushinda pale mtoni, bila kuogopa, wakaamini kwakuwa bibi yake ni mchawi, basi anamlinda mjukuu wake, Miaka ilizidi kusonga huku urafiki wao ukizidi kuongezeka mala dufu, ilifikia kiasi cha kwamba siku ambayo Isabelah hakumwona Yenda, akuweza atakula chakula nyumbani kwao, hakutaka kucheza na watoto wenzake, zaidi ya Yenda, alijifundisha kuogelea hakuogopa tena kucheza kwenye maji, ata alipo gunduwa kuwa Yenda hakuwa binadamu wakawaida, hakuogopa tena kwani alijuwa hawezi kumzuru, kwasababu wamecheza pamoja muda mrefu sana pasipo kumzuru. urafiki wao uligeuka na kuingia ndani zaidi, ilikuwa kipindi ambacho Isabelah ametimiza miaka kumi na tano, alikuwa ameshavunja ungo, na Yenda na yeye, alikuwa amesha balehe, siku hiyo wakiwa wanaogelea, alistaajabu jambo moja, nikudokeze jambo mdau, kipindi chote cha urafiki wao, hakuwai kumwona Yenda kuanzia kiunoni kushuka chini, sasa siku ile wakiwa wanaogelea kwa bahati mbaya walikutana miili yao ndipo Isabaelah akagungduwa kuwa Yenda hakuwa na nguo mwili mwake, maana mkono wake uligusa dudu ya Yenda ambayo nae Yenda alikuwa amepatwa na msisimko nakusimamisha muhogo,...... dah! fupiiii lakini tamu, ilikujuwa Yenda ni nani aswa, na anatokea wapi, endelea kuwa pamoja na sisi hapa hapa, SEYNATION MEDIA Na pia Download APP yetu kwa ku bofya hapo chini.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI