• Seynation Updates

    Wednesday 21 February 2018

    ISABELAH SEHEMU YA 06 (18+)

    Image may contain: 1 person, text
    ndipo naye alipo zamia kwenye maji na kwenda kumwai mpenzi wake, Isabela alipofika nyumbani, alikiona alichotegemea hakukiona, ni kumkuta bibi yake amenuna, wakati huo alimwona kaka yake akija kwa kasi na hasira, Mbuyamundu naye alikuja akiwa amekunja ndita usoni kwake, akiwa na saa mkononi akaanza kufoka, akimlahumu Isabelah kwakuchelewa sana alipoenda kuchota maji, wakati huo kaka yake alikuwa amezuiriwa na Njenje ambae alionekana kuwa na umri mkubwa kuliko wenzake, maana lengo lake likiwa ni kwenda kumtandika makofi dadayake, Isabelah alikuwa ametulia akimsikiliza, bibi yake ambae alikuwa amklalamika sana, "ebu ona maji hakuna, vyombo bado vichafu, alafu wewe una enda mtoni kukaa huko huko, shaulizako huo mto, utakutokea puani," maneno hayo alisha wai kuambiwa mala nyingisana na bibi yake, ni maneno ambayo yalimkumbusha sana mtukio lakupotea kwamama yake, ilifikia kipindi akamtilia mashaka bibi yake, yakuwa anaweza kuwa kweli ni mshilikina, kaida Isabelah anapo kumbuka tukio hilo, uwa anapenda sana kwenda mtoni, nasikuzote akifika tu! eneo la mto mala moja uwa Yenda naye anakuja, nikama wana wasiliana, basi Yenda utumia mda mwingi akimliwaza, nakunasiku alipokuwa anamliwaza akamwambia kuwa "mbona wazazi wako wote wapo hai,"kauli hiyo ilipingwa vibaya na Isabelah, maana anafahamu kuwa wazazi wake walisha fariki zamani tena akiwa mdogo sana, basi na leo yakamjia mawazo yakuuzunisha, kutokana na maneno makali ya bibi yake, kipindi cho alikuwa anamimi na maji kwenye pipa, ili akachote tena, ikiwa ndiyo nafasi ya kwenda kuonana na mpenzi wake Yenda, tena muda huu alikuwa akimitaji sana, licha ya kwenda kumfariji, zaidi alikuwa anataka akapewe dozi yake ambayo upewa kila siku, isipokuwa zile siku za wachezaji wale wamsimbazi, wanapo utumia uwanja huo kwamazoezi, alimimi na maji huku bibi akiendelea kufoka, kiasi cha kutoa povu, na alichukia zadi, alipoona kama Isabelah hamsikilizi, maana muda wote alikuwa kimya kabisa hakumwangalia ata bibi yake, mpaka alipo maliza kumimina maji, akaanza kutembea kurudi mtoni, ndipo alipo sikia bibi yake akimwita kaka yake Kadoda, naye akaja haraka sana, hapo bibi yao akamwambia Kadoda,....kafupiiii lakini tamu, endelea kuisoma kisha dondosha comment yako hapo chini na kwa kufollow instagram| SEYNATION.Kwa kutangaza biashara, tukio. au chochote kile kupitia blog hii na tamthiliya hii wasiliana nasi 0684 224 468, 0767 892 902.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI