• Seynation Updates

    Wednesday 21 February 2018

    ISABELAH SEHEMU YA O7 (18+)

    Image may contain: 2 people, people standing and text
    maana muda wote alikuwa kimya kabisa hakumwangalia ata bibi yake, mpaka alipo maliza kumimina maji, akaanza kutembea kurudi mtoni, ndipo alipo sikia bibi yake akimwita kaka yake Kadoda, naye akaja haraka sana, hapo bibi yao akamwambia Kadoda, "chukuwa ndoo nenda mtoni, kachote maji" aliongea Mbuyamundu, kisha akamwambia Isabelah, "wewe nenda ndani katoa vyombo, uoshe" kisha bila kuongeza neno, akatulia na kuwaangalia, Kadoda na Isabelah wakikabidhiana ndoo, Kadoda alipokea ndoo toka kwa Isabelah, huku akiwa amekunja ndita, akamkata jicho la hasira dada yake Isabelah, kisha aka kataka atua akielekea mtoni, huku njiani akiwazakitu ambacho siku zote kilikuwa kina msumbuwa juu ya dada yake, kwakawaida una weza ukazai kuwa hampendi dada yake, lakini ukweli nikwamba, wakati wazazi wake wakiingia ugomvi na bibi yao, yeye alikuwa ana wasikia na akaelewa kiala kitu kilichikuwa kina endelea, ata vifo vya vya wazazi wao, yeye alijuwa kuwa mhusika ni bibi yao, akaofia sana maisha yao, asa aliyaofia mahisha ya dada yake, ambae alionekana kuwa na kiburi juu ya bibi yao, ata alipo fikisha umri wakuolewa, alitamani kuona dada yake akiolewa, nakuondoka kwa bibi yake akipunguza hatari ya kupotezwa na bibi yao kutokana na kutofautiana na bibi yao mala kwala, akichelea siku ambayo bibi yao akikasilika kutokana na miugomvi ka iliyotokea kipindi baba yao alipo gombana na bibi yao na kupotea mazima, na ndo maana alikuwa mstri wambele ku pigania utulivu wa dada yake, ili hasimkele dadayake basi Kadoda alitembea kwa mendo wa haraka sana kuelekea mtoni, huku mammbo mawili ya ki pita kichwani kwake, maana leo anaenda mtoni peke yake, naule mto una mauza uza, ukikimbuka vizuri ata mama yake alipotea humo, pili alikuwa ana uakika kama kuna mtu alikuwa ana msubiri dada yake kule mtoni, lazima ange mkuta sababu lazima ange tegemea kumwona Isabelah, anarudi kuchota maji, lakini mawazo yake yakakatizwa baada ya kuwaona......., kafupiiii lakini tamu, endelea kuisoma kisha dondosha comment yako hapo chini na kwa kufollow instagram| SEYNATION.Kwa kutangaza biashara, tukio. au chochote kile kupitia blog hii na tamthiliya hii wasiliana nasi 0684 224 468, 0767 892 902.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI