• Seynation Updates

    Wednesday 28 February 2018

    ISABELAH SEHEMU YA 11 (18+)

    Image may contain: 1 person, text

    "Isabelah akiwa bado anasafisha vyombo, alimwona kaka yake anakuja kwa mwendo wa haraka, na ndoo mkononi, uso wake alishindwa kuu tafsili, kama ni wasiwasi, au hasira, hapo mapigo ya moyo ya Isabelah yalimwenda mbio, akajuwa kuna jambo limetokea huko mtoni, akaa tayali kwa lolote, bibi nae akiwa na Kinje pembeni kidogo yapale alipo kaa Isabelah, walishangaa
    kumeona Kadoda anakuja kwa mwendo ule, na uso wake ukionyesha wasiwasi, na mawazo mwngi sana, moja kwamoja akawafwata alipo simama bibi yake, wakasimama dakika kadhaa wakiongea jambo huku waki ya shangaa yale maji, huku Isabelah akiwa ametega sikio kusikiliza wanachoongea, lakini watu hawa walikuwa makini sana, waliongea kwasauti yachini, na mwongeaji mkubwa alikuwa bibi
    yake, baada ya dakika kadhaa, akamwona kaka yake akinyanyua ndoo yake na kwenda kuya mimi na kwenye chombo kingine cha pembeni, nasiyo kwenye pipa ambalo lina wekwa maji masafi, Isabelah alipo yatazama maji, akaona jinsi yalivyo chafuka, akaona yes kidume kimwfanya kazi, akajikuta akitabasam uso kainamia chini, huku anaendelea kuosha vyombo taratibu, bibi mbuya mundu nae, bado alikuwa na Kinje japo ni mtumzima kidogo, akini alionekana kuwa na uwezo wakimapigano, wakiendelea
    kuongea jambo flani, kama walio kuwa wanapanga jambo, ambalo lilikuwa linaitaji utekelezaji wa haraka sana, baada yakumimina maji Kadoda akawafata bibi yake na Kinje, nao wakaondoka mahali pale, nakuzunguka nyuma ya nyumba yao, Isabelah akiwa hana hili wala lile,aliendelea kuosha vyombo taratibu, akisubiri asikie kama ata ambiwa aende mtoni, au wata mkatalia kabisa, lakini alikuwa na uakika kuwa ata wakimkatalia yeye akimaliza kazi zake atawai kukutana na mpenzi wake, leo hakuwa tayari
    kuikosa dose, naalikuwa naukika kuwa lazima mpenzi wake atakuwa anamsubiri kule mtoni, wakati anaendelea kuosha vyombo, mala aksikia sauti ya kaka yake ikimwita, Isabelah, hapo bila kuitikia akageuza shingo, nakumtazama kaka yake, alikuwa amesimama pembeni yake, huku ndoo tupu ikiwa mkononi, kadoda alisimama dakika kazaa akimtazama dada yake kwamacho ya huruma na
    mshangao, kiasi kwamba ata Isabelah akashangaa, unazani kwanini Kadoda ameduwaa? au kwaajili yampango unaopangwa juu ya dada yake? kwani nimpango gani huo? 

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI