• Seynation Updates

    Wednesday 28 February 2018

    ISABELAH SEHEMU YA 12 (18+)

    Image may contain: 1 person, text


    mala akasikia sauti ya kaka yake ikimwita, Isabelah, hapo bila kuitikia akageuza shingo, nakumtazama kaka yake, alikuwa amesimama pembeni yake, huku ndoo tupu ikiwa mkononi, kadoda alisimama dakika kazaa akimtazama dada yake kwamacho ya huruma na mshangao, kiasi kwamba ata Isabelah akashangaa, "vipi mbona unani tazama hivyo?" aliuliza Isabelah nakumfanya kaka yake akose jibu, alicho fanya nikumkabizi ndoo, "katafute maji masafi, yakupikia" aliongea Kadoda kisha akaondoka zake
    nakumwacha Isabelah, akiwa amekaa akimwangalia kaka yake akitokomea nyuma ya nyumba yao, alipopotea akaachia tabasamu la ushindi, "yes mambo sihayo bwana, najivunia kuwa na Yenda, anaakili kali sana huyu kidume" aliwazo hayo akijiinua kwenye kiti, pale mahali ambapo sikuzote uwa anatumia kuoshea vyombo, kisha huyo huku kitumbua kikimtekenya, akaanza kuingia kimsitu kuelekea mtoni, na ndoo yake mkononi, huku moyoni akijuwa anaenda kupata dose yake yakila siku, alitembea taratibu
    huku picha ya jinsi wanavyo fanyaga ikimjia kichwani kwake, hapo akajikuta anaongeza mwendo, maana alijuwa shughuli ya mpenzi wake, anapo ingia kwenye kitumbua, pia huwa anampakazi ya maana, maaana alikuwa anaweza kuitumia dudu vilivyo, wakati amezama kwenye mawazo hayo, kumbe kunakitu hakukijuwa, kuna mtu aliwekwa tayari kumfwatilia, anapoenda mtoni safari hii,
    alikuwa ni kijana Njenje, ambae alipewa jukumu hilo na bibi Mbuya mundu, ni baada ya kuona mchezo wa uchafuzi wa maji, wakajuwa lazima mtego wao hupo mbioni kufanikiwa, lazima muhusika atakuwa maeneo yakaribu, ndipo walipo itana, nakupanga hako kambinu ka kumruhusu Isabelah, kisha mmoja wao amvizie kwa nyuma nasiyo kutangulia kama walivyo fanya asubuhi, lakini
    kuna jambo ambalo Kadoda alikuwa na wasiwasi nalo, kwamba kama kweli kuna mtu anakutananae huko mtoni, basi hatokuwa binadamu wakawaida, lazima atakuwa ni jini, hivyo endapo watalivamia hawataweza kupambana nalo, lakini bibi Mbuyamundu, akawatowa wasiwasi kuwa swalahilo wamwachie yeye, atajuwa lakufanya, endapo huyo mtu atakuwa nitofauti, wakati Isabelah anaendelea kuelekea mtoni, na Njenje akimfwata kwa tahadhari kubwa, huku nyumbani wakina kadoda walikuwa wana andaa silaha zao za jadi, mapanga na marungu, wakiamini leo lazima kieleweke, maskini Isabelah altembea pasipo kujuwa kama anafwatiliwa yeye wazo ni moja kwenda kupewa dudu, haya sasa mdau tunazidi kusonga na story yetu ya binti Isabelah,

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI