• Seynation Updates

    Wednesday 28 February 2018

    ISABELAH SEHEMU YA 13 (18+)

    Image may contain: one or more people and text

    Njenje akimfwata kwa tahadhari kubwa, huku nyumbani wakina kadoda walikuwa wana andaa silaha zao za jadi, mapanga na marungu, wakiamini leo lazima kieleweke, maskini Isabelah altembea pasipo kujuwa kama anafwatiliwa yeye wazo ni moja kwenda kupewa dudu, huku nyumbani wenzake wakijiandaa kwa mapambano, endapo Njenje ata waletea taarifa ya kumfumania mtu anaye mzuzua Isabelah, kiukweli Isabela alifika mtoni akaona maji yakianza kuwa masafi, japo vumbi lilikuwa lina malizikia kwambali, lakini mpenzi wake Yenda hakumwona pale mtoni, akajuwa tu lazima atakuwa ndani ya maji, maana alimfahamu vyema mpenzi wake ni kiumbe cha haina gani, lakini alitokea kumpenda sana, kutokana nasababu nyingi sana, kwanza Yenda alikuwa na upendo wakweli, pili katika hali ya hajabu alimletea kila alicho itaji, alimliwaza anapo kuwa anamajonzi, pia kuna sababu nyingine ambazo zilimfanya alazimike kushinda mtoni akamsubili, hizo sababu anazijuwa yeye mwenyewe, maana nyumbani hakukaliki , sijuwi menogewa na nini kwa kijana huyu, Njeje alimwona Isabelah akifika pale mtoni, akajibanza sehemu nakuangalia mtoni alipo Isabelah, ambapo alimwona akisimama kwa muda mrefu sana, huku akipepesa macho huku na huku, kama kuna kitu anatafuta, hapo Njenje akajuwa 'kuch kuch hotahe' mdau unajuwa maana yake? kwakingoni maana yake ni, kunakitu kitatokea, au wamwela wanasema hivi 'some thing will hapen' hivyo akatulia nakuongeza utulivu, ili hasiweze kubainika, kama yupo pale, japo uwoga ulimshika sana, lakini kutokana na wivu alionao, nauchungu wakumkosa binti huyu, alijikaza akitazama kitakacho tokea, bibi na watu wake waliendelea kuandaa mapanga yao, nasilaha nyingine za kijadi, huku kila mmoja akipania kumtwanga vibaya huyo anaye mzuzua Isabelah, bibi aliwahacha vijana wakiendelea kujiandaa akaingia ndani, huko akavua nguo moja baada yanyingine, mpaka akabaki mtupu kabisa, kisha aka chukuwa kitambaa cheusi, na chepesi sana, chenye ukubwa kama mtandio, akajifunga kuanzia kiunoni nakuwa amezuwia chini tu! huku kifuwa kikiwa wazi, akasogea kwenye kona ya chumba chake, na kuinamia hapo kama anaetafuta kitu, akafukuwa na kutoa kibuyu kikubwa, kilicho fungwa shanga nyingi, na miilizi kibao ya rangi mbalimbali, akaanza kuongea maneno flani, huku ana zungusha kile kibuyu kichwanitumboni na kiunoni, kisha akiwabado ana ongea maneno yake, alianza kumimina vitu flani kwenye kile kibuyu, na kuanza kuvibugia mdomoni mwake, akatafuna na kuvimeza, akavanya hivyo mala kadhaa, kisha akaweka chini kile kibuyu, akaanza kupekuwa tena pale chini, kisha akatoka na kitu kama kijimfuko kidogo cha kitambaa kigumu, akatanua mdomo wakile kijimfuko, na kuinuwa ile nguo yake nyeusi aliyo ivaa kiasi cha makalio yake mabaya kuonekana, alafu akiwa ametanua ule mfuko, akauegesha kwenye makalio yake, huku bado anaongea yale maneno yake kwa kuyarudia rudia, akiwa ameegesha ule mfuko kwenye makalio yake , mala ukasikika ushuzi mkubwa sana ungezani ata nje walisikia, maana ata panya walisikika wakikimbia huko juu ya dali, ushuzi huo uliambatana na kitu kama mwangaza, ambao ulisambaa chumba kizima sambamba na harufu kali sana, huku bibi Mbuyamundu, akifunga haraka sana ule mfuko, akiwai ushuzi ulioingia husiweze kutoka nje, huku nako Njenje akiwa pale kwenye maficho akaanza kukata tamaa nakujiandaa kuondoka, wakati anajiandaa kuondoka, akamwona Isabelah naye akiingia kwenye maji, akona bola asubiri aone mwisho wake ikiweze kana aondoke baada ya Isabelah, yaani yeye akiwa nyuma ya Isabelah, je Yenda alisha gunduwa uwepo wa Njenje?, je Isabelah ata lizika kulala bila kupata dudu? basi tungoje sehemu ya 14 ilitujuwe yote hayo

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI