• Seynation Updates

    Wednesday 28 February 2018

    ISABELAH SEHEMU YA 19 (18+)

    Image may contain: 1 person, text


    wakina Kadoda walikimbia kwa speed kuelekea mtoni wakiwa nalengo moja tu! lakuwai kuwakamata Isabelah na huyo mtu wake, akati wanaendelea kutimua mbio, ghafla kwambali kidogo mbele yao, walimwona Isabelah akija nandoo kichwani, wote kwapamoja wakaingia kichakani nakujificha, wakiwa pale kichakani kimya kabisa walimwona Isabelah akipita kwamwendo wake wamadaha, huku usowake umepambwa na tabasamu mwanana, siri ya tabasamu lile aliijuwa Njenje peke yake, hapo Njenje

    alizidisha chuki kwa jamaa alie mwona akimpatia dudu yamaana Isabelah kule mtoni, walidumu pale kichakani kwa dakika tatu nzima, wakimsubiri Isabelah afike mbali kidogo ndipo watoke, hapo kila mmoja moyoni mwake aliwaza lake, wakijaribu kuvuta picha yakile alichotoka kukifanya binti Isabelah kule mtoni, kama walivyo simuliwa na Njenje, hivyo kila mmoja aliwaza lake, ni mawazo yaliyo zidisha chuki na paniki, juu ya kijana wasie mfahamu mpenzi wa Isabelah, ile Isabelah anapitatu eneneo lile
    wao wakachomoka toka kichakani na kukimbilia mtoni, hakiwa hajuwi lolote, Isabelah alielekea moja kwamoja nyumbani kwao, akukuta mtu atammoja, haikumshangaza sana, alichokifanya ni kutuwa ndoo ya maji na kuanza kuosha vyombo alivyo kuwa ameviacha wakati ana elekea mtoni, akaoshavyombo taratibu akivuta picha ya laha alizo kuw anapewa na Yenda, japo kunawakti moyo wake ulikosa amani, hakujuwa sababu ya nini, alioshvyombo mpaka kamaliza bila kuwaona bibi na kaka yake "wameenda wapi hawa?" alijiuliza Isabelah akiingia ndani nakuchukuwa kitana chake nakurudi sehemu ile anayooshea vyombo nakukaa, kisha akaanza kuchana nywele zake, ambazo anazipenda sana, na mala nyingi upenda kuzichana, akisubiri awaone wakina Kadoda ndipo aende mtoni kurudia mchezo, maana ndo kwanza ulikuwa umeanza, ata robo haujafika, lakini kwakuto waona wakina Kadoda na bibi yake na rafiki zake, kiukweli ali ya wasi wasi ilizidi kutawala moyo wake, alikaa hapo kama nusu saa nzima akiwaza ili na lile, huku shahuku yakurudi mtoni ikizidi kumjaa, lakini asingeweza pasipo kujuwa wakina bibi wapo wapi, ndipo alipoona kitu cha kushangaza, alimwona bibi yake Mbuyamundu, akiwa mebeba mapanga yaliyo lowa damu, huku akifwatiwa na Kadoda na Kinje mtu mzima, wakiwa wame mbeba Njenje kakata moto, hapo myo wa Isabelah ukapiga"paaa!" mh! kweli kafupi lakini katamu, inamaana Yenda amededi, bola tuone kwenye no 20

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI