• Seynation Updates

    Wednesday 21 February 2018

    ISABELAH SEHEMU YA 08 (18+)

    Image may contain: 1 person, standing and text
    pili alikuwa ana uakika kama kuna mtu alikuwa ana msubiri dada yake kule mtoni, lazima ange mkuta sababu lazima ange tegemea kumwona Isabelah, anarudi kuchota maji, lakini mawazo yake yakakatizwa baada ya kuwaona James Komba na nampenzi wake Fadhira, aliekuwa ameshika kisu kikali cha mkunjo, mundu au chikwakwa, (uta wasoma kwenye mkasa wa PENZI LA BINTI NGUVA au yupo kwenye mkasa wa SAFARI) wakiwa na vyombo vilivyo sheheni ndizi, mbichi ikiwa ni bihashara yao ya kilasiku, kiukweli wawili awa walikuwa wanapendana sana, kiasi chakuwa mfano kwa wapenzi wengine, ila katika watu kuna viatu, wapo walio waonea wivu, wakatamani kuwaona wakigombana, waaisalimiana na wao wakapita, Kadoda aliendelea kuza nakuwazuwa, mstakabali mzima wa mahisha yao yeye na dada yake, nikudokeze kidogo juu ya binti Fadhila, yeye ni jamii moja na Yenda, na yeye ndie ambae alikuwa na uwezo wa kutembea nje yamaji bila matatizo yoyote, alikuwa nauwezo wa kuwasiliana na wenzake kwa hisia, kumbuka Yenda ni wa ukoo wakifalme na alikuwa amepewa ufalme akiwa mdogo sana kiasi cha kusaidwa kuongoza na baba yake mkubwa maana yeye alitakiwa atimize miaka 25, ndipo atawazwe lasmi kuwa mfalme, kutokana na tabia yake yakupenda kuja juu ya maji nakufanya urafiki na binaadamu, baba yake mkubwa akaamua kumpa ulinzi wa binti Nguva Fadhila, ambae alikuwa na uwezo mkubwa sana wakupigana, akitumia mundu, kwa wle wanao fwatilia mkasa wa SAFARI wana weza kumwona akisaidia shemeji zake binadamu, au utasoma kwenye mkasa wake wa penzi la binti nguva, mpaka ikapelekea kukutana James mjukuu wa mzee komba, hivyo wakati mwingine, Yenda ali mwambia Fadhila, awe anawapisha yeye na Isabelah, nayeye Fadhila anatoka na kwenda kutembea mtaani akiwa na tenga la ndizi akiziuza, japo kuna siku aliwapiga chabo, nakushuhudia jinsi walivyokuwa wanafaidi, alitamani sana kujaribu kamchezo hako, lakini hakuwa amempata wakulizisha, adi alipo kutana na mjukuu wa mzee Komba, tuyahache hayo utakutana nayo kwenye kisa chao, siku hiyo baada ya kujulishwa na Yenda kwakutumia hisia, kuwa anatarajia kuwa falagha, awapishe ndipo alipo kutana na mpenzi wake, ambae nae alikuwa na katabia kakumsubiri sehemu, lakini walipo pishana na Kadoda, nikama Fadhila alihisi kitu, na ile ndoo aliwai kumwona nayo Isabelah, mdafupi uliopita, hapo akaona wacha atumie uwezo wake kumstua Yenda...... je atawai kumjulisha ujio wa Yenda, au Yenda ataonekana?, Yenda atafanyaje inamaana hawata onana, soma kisha nijulishe, kisha tembelea baadae kidogo, uone kilicho tokea. 
    Kwa kutangaza biashara, tukio. au chochote kile kupitia blog hii wasiliana nasi 0684 224 468, 0767 892 902.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI