• Seynation Updates

    Wednesday 21 March 2018

    UTANI WA IDRIS SULTAN KWA DOGO JANJA "WAYU WAYU"

    Tokeo la picha la idrisa sultan

    Mtangazaji na Mchekeshaji Idris Sultan, kupitia Account yake ya Instagram kama ilivyo kawaida yake amemtania Msanii Dogo Janja kutokana na Video ya WAYU WAYU kwani kupitia Video hiyo Dogo Janja Alicheza kama Mwanamke na Mwanaume. Hata hivyo video hio imezua maswali mengi kwa mashabiki wa Dogo Janja, na kwa mujibu wa Dogo Janja Mwenyewe anasema kuwa hicho ni kitu kidogo tu kwani kuna Suprise kibao zinakuja kwenye video zake nyingine. Inasemekana kuwa Kitendo hicho cha Dogo Janja ni kutokana na Masharti aliyopewa na Mke wake ambae ni Irene Uwoya.

    Kutokana na hayo yote Idris Sultan Amefunguka kama Ifuatavyo..

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI