• Seynation Updates

    Tuesday 22 May 2018

    IGP SIMON SIRRO AKUTANA NA RAIS

    MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro (kushoto) akiongea na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Fatma Karume aliyefika  makao makuu ya Jeshi la Polisi.

    MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume aliyefika makao makuu ya Jeshi la Polisi kwa lengo la kujitambulisha tangu alipochaguliwa kuongoza chama hicho ambapo pia walijadiliana masuala kadhaa ya kisheria.


    SOURCE : GLOBAL PUBLISHERS



    Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI