• Seynation Updates

    Thursday 3 May 2018

    NANDY NA BILL NASS WAMERUDIANA TENA KUNA WIMBO WASHAFANYA


    Tokeo la picha la BILLNAS NA KUCHA


    Hitmaker wa Ngoma ya TAGI UBAVU Bill Nass, amefunguka kwa mara ya kwanza tangu kusambaa kwa video yake akiwa na NANDY, Bill Nass ameyabainisha hayo kwenye kipindi Cha Kikaangoni.

    “Kuna wimbo tumefanya pamoja, wimbo umefanywa chini ya S2kizzy hivyo naamini muda ukifika utatoka tu ila nachojua ni wimbo mkali, kuhusu jambo ambalo limetokea,” amesema Bill.

    Rapper huyo ameongeza, “Kuhusu mimi na yeye tayari nilishaomba radhi kwa wananchi na sasa maisha ya kawaida yanaendelea, hivyo hatuna tofauti yoyote ile kwa kuwa yule ni rafiki yangu na nina iheshimu sana familia yake akiwa pamoja na mama yake kwa kuwa ni mtu ambaye amekuwa akijitoa sana kusupport kazi za mwanae.” 



    SOMA HABARI KUPITIA INSTAGRAM ACCOUNT YETU @seynation 
    A post shared by A REAL BOSS (@seynation) on

    Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI