• Seynation Updates

    Wednesday, 30 May 2018

    PICHA | Nyumba ya Msanii Rosa Ree wenye thamani ya zaidi 400 minions.





    Hizi ndizo picha za Mjengo mpya wa The Rap Goddes @rosa_ree ambao amenunuliwa na menejimenti yake mpya. Mjengo huu una thamani ya Tsh. Milioni 400 na upo Tegeta DSM.

    Rosa Ree amefikia hatua hii baada ya kumwaga wino na kusaini dili nono la Miaka Mitatu na Menejimenti mpya toka Afrika Kusini 'DIMO Production' ambayo imemnunulia mjengo mwingine pia nchini Afrika Kusini.

    Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI