• Seynation Updates

    Wednesday, 30 May 2018

    Visa vya mpangaji mpya.. Sijawahi Ongea naye zaidi ya Salamu ila Mitego nayoipata Nakaribia Kunasa



    Jamani Mitego Mingine ni Shidah ..Kuna dada mpangaji mwezangu hapa kijitonyama amehamia kwenye hii nyumba week ya pili sasa , chumba chake na changu kipo karibu , toka amehamia hatujawahi ongea zaidi ya salamu ila mitego ya khanga ninayoipata mpaka nataka nimrushie maneno mawili matatu ila bado nimuonea haya..

    Huyu Dada ni kama Amejua ratiba zangu basi kila asubuhi nikiwa natoka kwenda kazini lazima nimkute nje anafua ama anaosha vyombo kwenye karo akiwa ndani ya khanga moja tena ile nyepesi inayoonyesha mpaka nguo ya ndani..Vile vile jioni nikiwa narudi anajipitisha pitisha hapo nje weee...

    Jamani Hii ni Kawaida kwa Wapangaji ama Ndo Naonyeshwa Green Light ?



    Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI