• Seynation Updates

    Wednesday 30 May 2018

    Rais wa Mali amtaka kijana shujaa aliyemwokoa mtoto Ufaransa arudi nyumbani, amtafutia kazi Jeshini.

    Rais wa Mali amtaka kijana shujaa aliyemwokoa mtoto Ufaransa arudi nyumbani, amtafutia kazi Jeshini.


    Balozi wa Mali nchini Ufaransa,Toumani Diallo akizungumza na kijana aliyepata umaarufu baada ya kumwokoa mtoto aliyekuwa akining'inia kwenye ghorofa ya NNE, Mamoudou Gassama katika ofisi za ubalozi wa nchi hiyo na kumpa pongezi kutoka kwa rais wa Mali na kumwambia kuwa rais wa Mali anamtaka arudi nyumbani kwao Mali amemwandalia nafasi ya Jeshi. Tayari Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amempatia uraia na ajira kwenye jeshi la Zimamoto.

    Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI