• Seynation Updates

    Wednesday 30 May 2018

    Ndoa ya Rayvanny Yanukia Ni mwaka Huu..

    Baada ya Rayvanny kupata kigugumizi kuhusu kufunga ndoa na mpenzi wake Fahyma, sasa ameweka mambo wazi.

    “Yeah, Mungu akijalia lakini kwa sasa siwezi kusema ni lini kwa sababu hivi vitu vinapangwa na familia, ndugu mkishapanga. ikishakuwa official kila mtu atajua,” alisema Rayvanny hivi karibuni kwenye uzinduzi wa filamu ya Aunty Ezekiel, Mama.

    Habari njema kwa sasa, hit maker huyo wa Pochi Nene kupitia mtandao wa Instagram ameweka wazi kuwa ndoa yake itafanyika hivi karibuni tena na mama watoto wake Fahyma.
    Rayvanny Aweka Msimamo Wake wa Ndoa "Ndoa Sooooon"

    “🌸 @fahyvanny NDOA SOOOOOON can’t Wait,” ameandika Ray kwenye mtandao huo. 

    Lakini pia baada ya kuandika hivo Rayvanny alibadili caption na kuacha kuacha "🌸"


    Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI