• Seynation Updates

    Sunday 13 May 2018

    WAJANJA (Hackers) WAVAMIA YOUTUBE YA ALI KIBA.

    Msanii wa Bongo fleva anayetamba kwa wimbo wake mpya wa Mvumo Wa Radi Ali Kiba,  account yake ya YouTube haiko katika hali nzuri kutokana na wajanja (hackers)  kufanya yao.

    Alichokiandika Ali Kiba Instagram



    Ikiwa zimepita siku chache baada ya msanii huyo kuachia wimbo wa Mvumo wa Radi ambao tayari ulikuwa YouTube na Views za wimbo huo zilikua zikitishia amani kwakweli. Kutokana na kasi ya viewers kuongezeka kwenye wimbo huo,  wameibuka hackers na kuweza kublock views kuhesabika yaani,  (Blocked Views) ..

    Aidha Ali Kiba kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa Wanalishughulikia tatizo hilo kwani wanawasiliana na makao makuu ya YouTube..

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI