Lebron James amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga point zaidi ya 50 kwenye mchezo wa fainali na kupoteza. Hata hivyo Lebron pia hana rekodi nzuri ya michezo ya kwanza ya Fainali akiwa amepoteza 8 na kushinda 1 tu. Lebron James pia ameweka rekodi ya michezo 109 kwenye Hatua ya mtoano kufunga point 30 au zaidi, amelingana na Michael Jordan katika hili.
Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment