Zinedine Zidane abwaga manyanga Real Madrid baada ya kuandika rekodi ya kuchukua UCL kwa mara ya Tatu.
Kocha huyo aliirithi mikoba ya Rafa Benitez Mwezi January 2016. Licha ya kuwa mwamba wa mataji ya Ulaya, Zizzou ameshindwa kuwika Nyumbani akichukua La Liga mara Moja ndani ya Miaka yake Miwili na Nusu.
Uamuzi huo wa Zidane umekuwa wa kushtusha na bila kutarajia, amesema Rais wa Klabu hiyo Florentino Perez. | Zidane amepanga kuondoka rasmi kwenye ardhi ya Santiago Bernabeu, Jumatano wiki ijayo
Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment