Pamoja na kuwa ligi kuu Soka TANZANIA Bara imesimama lakini KULE ULAYA mambo ndo yanapamba Moto
kwa LIGI KUU YA UINGEREZA, Huku WEEKEND hii tarehe 28 & 29 wewe kama mpenzi wa SOKA hushawishiki kukosa hata mechi moja.
Hii ikiwa ni BLOG inayokujalili inakuletea RATIBA ya mechi kwa saa zetu za kibongo(Afrika Mashariki)
LEO JUMAMOSI TAREHE 28/11/2015
Aston Villa Vs Watford Saa 18:00
Bournemouth Vs Everton Saa 18:00
Crystal Palace Vs Newcastle Saa 18:00
Man City Vs Southampton Saa 18:00
Sunderland Vs Stoke Saa 18:00
Leicester Vs Man Utd Saa 20:30
KESHO JUMAPILI TAREHE 29/11/2015
Tottenham Vs Chelsea Saa 15:00
West Ham Vs West Brom Saa 17:05
Liverpool Vs Swansea Saa 19:15
Norwich Vs Arsenal Saa 19:15
No comments:
Post a Comment