• Seynation Updates

    Tuesday 1 December 2015

    "VIJANA MTUMIKIENI MUNGU................."

    NI asubuhi siku nyingine tena, ukiwa na afya teeeele!!!!!! "VIJANA MTUMIKIENI MUNGU" Ni agizo ambalo viongozi wa DINI na hata WANASIASA wameshawahi kulitamka kwenye Hotuba, Mawaidha yao. Vijana wa leo wamekuwa ni vijana wa kutangatanga mitaani eti wakitafuta kazi, mwisho wa siku vijana hao kuishia kuwa wezi na majambazi mitaani kwetu. Wanasahau kusali kwa MUNGU wao. "VIJANA MTUMIKIENI MUNGU"

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI