• Seynation Updates

    Monday, 28 December 2015

    Wanamuziki wa Bongo Wafanya Semina



    Wanamuziki wa Bongo flava, Dansi na Taarab leo wanafanya semina ya kujadili juu ya ubora wa kazi zao za muziki (mastering) ili uweze kufanana na miziki mingine ya nje ya Tanzania, mdau mkubwa wa muziki Bongo Babu Tale alifungua semina hiyo kwa kuongelea suala hilo kwa undani zaidi juu ya Wanamuziki wa Bongo kujijenga vizuri ili ngoma wanazozitoa ziwezwe kupenyaa kila kona ya dunia kutokana na kiwango kufanana na miziki mingine, hivyo semina hii ni kujadili na kufanya maamuzi makubwa kutokana na kasi ya muziki unavyoenda kwa sasa..
    Baadhi ya Wanamziki Wakiwa Kwenye Semina

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI