• Seynation Updates

    Thursday, 3 December 2015

    ALIA NA KUPAGAWISHWA KISA SAINI YA CRISTIANO RONALDO.............

    Hivi huu ni ushabiki wa namna gani na ni upendo wa namna gani? ETI kisa SAINI ya binadamu mwenzako kutiwa kwenye Nguo yako unafurahi na hata kulia kisa furaha. Hatujui huenda SAINI hiyo ina umuhimu kwa huyu mshabiki wa CRISTIANO RONALDO. HEBU TUMTAZAMEE......
    MSHABIKI HUYU NDIYE MSHABIKI WA KUIGWA HAPA BONGO...........

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI