Mji mmoja nchini Pakistan katika jimbo la Punjab, ambao ulipata umaarufu kutokana na vurugu zake dhidi ya makundi ya jamii ndogo ndogo umeleta watu pamoja kwa njia isiyo ya kawaida hasa kupitia udini.
Wakulima maskini wa Kiislamu katika kijiji cha Gojra wanachanga fedha ili kusaidia katika ujenzi wa kanisa kwenye eneo lao.
Lakini hali hii ya kuelewana na kuvumiliana kweli itawezekana katika eneo ambalo mara nyingi hutokea fujo za kidini?
Kujua Kwa kina juu mkasa huu..enedelea kufuatilia Blog hii mara kwa Mara.
No comments:
Post a Comment