Akiongea kwenye Twitter wakati ambapo naye ameingiza nguo zake sokoni, AKA ameziponda nguo za Kanye na kudai kuwa zina ubora mdogo. Nguo za Kanye zinauzwa kwenye duka la muda huko Cape Town na AKA amedai kuwa nguo hizo zimetengenezwa kwa t-shirt duni za jumla.
“Our MERCH quality is better than the Cape Town PABLO MERCH …. They printed over rubbish wholesale T shirts. Ask anyone who copped there,” aliandika.
Nguo za Kanye West ziliuzwa Cape Town wiki mbili zilizopitwa na kuvutia wateja wengi.
Kupitia Instagram, AKA ameonesha nguo zake hizo.
No comments:
Post a Comment