• Seynation Updates

    Sunday, 18 September 2016

    DIAMOND 'Najisikia Kuachia NYIMBO LEO'

    Tokeo la picha la diamond platnumzUongozi wa Diamond Platnumz uliahidi kuwa endapo video ya wimbo ‘Kidogo’ ikifikisha views milioni 5 katika mtandao wa Youtube basi watatoa zawadi kwa mashabiki wao kwa kwa kuachia wimbo mpya.
    Jumapili hii Diamond kupitia twitter ameandika.
    Mashabiki wengi wa staa huyo wameonyesha kufurahisha na taarifa hiyo huku baadhi yao walimtaka kusuria msimu wa Fiesta kumalizika.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI