Muimbaji wa muziki wa Kwaito nchini Afrika Kusini, Mduduzi Tshabalala maarufu kama Mandoza, amefariki dunia Jumapili, akiwa na miaka 38.
Muimbaji huyo aliwahi kutoa nyimbo zilizofanya vizuri zikiwemo Nkalakatha, Godoba na Sgelekeqe. Wiki iliyopita, familia yake ilithibitisha kuwa alikuwa akitibitiwa kwa uvimbe kwenye ubongo.
Mandoza alitumbuiza September 10, 2016 jijini Johannesburg kwenye tamasha la SABC kwenye uwanja wa Orlando.

Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma ametuma salamu za rambirambi.
No comments:
Post a Comment