Msanii wa Nigeria ambaye amekuwa akifanya vizuri kwa mwaka 2016 Wizkid, usiku wa December 8 kuamkia December 9 2016 ameingia kwenye headlines, baada ya kuamua kukubali ushauri wa daktari wake wa kupumzika na kusogeza mbele ratiba ya show zake.
Wizkid kupitia account yake ya instagram ameamua kuwaeleza washabiki wake kuhusu ushauri aliyopewa na daktari wake, baada ya kufanya show nyingi bila kupata muda wa kutosha kupumzika, Wizkid ameandika maneno 118 kuomba radhi mashabiki wake baada ya kuamua kupumzika kufanya show.
No comments:
Post a Comment