• Seynation Updates

    Tuesday, 27 December 2016

    TRUMP HUYU SIO TULIEMFIKIRIA

    Ukitaka kujua kuwa Trump uko tofauti angalia hotuba zake mbalimbali ambazo kwa sasa anazisema licha ya kutoingia hadi January 20 mwaka huu atakapokabidhiwa rungu pale White House ndipo utamua ninani na anafanya nini.483208412-real-estate-tycoon-donald-trump-flashes-the-thumbs-up-jpg-crop-promo-xlarge2

    Trump ameanza na kuteua Mwafrika kuwa katika bodi ya uchumi ambapo anatoka Nigeria kumbuka katika kampeni zake alisema kuwa anawachukia Waafrika lakini amemteua mwafrika kuwa katika bodi ya uchumi kama mshauri, tukio la pili hivi sasa anapinga na kulaumu umoja wa Matafai UN kwa kuwa hawako kikazi zaidi.

    Donald Trump alitoa ujumbe uliosema “Licha ya kuwa UN ina uwezo mkubwa,cha kusikitisha ni kuwa viongozi wa muungano huo hufanya mikutano ya kuzungumza tu na kujiburudisha pamoja .”

    Trump alitoa wito kwa baraza la usalama la UN kuchukua hatua na kutafuta suluhisho la waisrael wanaoishi katika ardhi ya wapalestina kinyume na Sheria . Donald Trump pia aliwahi kuwa kiongozi katika baraza la usalama la UN alisema katika ujumbe kuwa baada ya kuapishwa kwake Januari 20 shughuli katika UN zitaendeshwa ipasavyo.

    Hivi ndivyo tutakapoona mabadiliko makubwa yakifanywa na raisi huyu japo nipo katikati kwa maamuzi yake yote ambayo anayatoa , hivyo basi tusubiri tuone vipi anafanya katika kipindi cha miaka 4 na vipi atapita katika duru ya kwanza .


    SOURCE: MTEMBEZI.COM

    Ili ujue kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye   FACEBOOK na  INSTAGRAM  @seynation ili niwe nakutumia kila kinachoonifikia.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI