U Heard ya Soudy Brown December 27, 2016 kupitia XXL ya Clouds FM iko na story inayomhusu msanii wa bongofleva Young D kudaiwa kusakwa na polisi. Inadaiwa kuwa Young D alikuwa na password za account ya Instagram ya Tunda ambaye ni mpenzi wake, sasa inadaiwa polisi wanamsaka kisa ameifuta account ya Tunda.
Bonyeza play hapa chini kusikiliza full stori
No comments:
Post a Comment