• Seynation Updates

    Tuesday, 10 January 2017

    MR NEY- 'NIMECHUKIZWA NA HUU UKATILI'



    Kama ulikuwa karibu na mitandao ya kijamii, najua utakuwa umeumia kama nilivyoumia mimi kuona mwanamke akipigwa viboko mbele ya watu.
    Baada ya video hiyo kusambaa na kupelekea kubeba hisia za waTanzania wengi kuchukizwa na kitendo hiko na kumtaka waziri wa mambo ya ndani ya nchi kutolifumbia macho swala hilo, Msanii wa Bongo Fleva Nay wamitego aliibuka kuungana na waTanzania kupinga jambo hilo kwa kushare hisia zake.
    Kupitia kurasa ya Instagram ya Nay wa Mitego aliposti ujumbe ambao unaonyesha kuchukizwa na kitedo hiko kwa kusema kwamba siku zote analaani mwanaume ambaye anampiga mwanamke, yeye na ubabe wake wote hajawahi kufanya hivyo.


    SOURCE: PERFECT255

    Ili ujue kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye   FACEBOOK na  INSTAGRAM  @seynation ili niwe nakutumia kila kinachoonifikia.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI