• Seynation Updates

    Friday 17 March 2017

    Hii hapa ratiba ya robo fainali Europa League.










    Hii hapa droo ya robo fainali ya UEFA Europa League imefanyika leo March 17 2017, kwa timu nane ambazo zilifanikiwa kufuzu hatua hiyo ikiwemo KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta.
    Timu saba nyingine ambazo zilizofanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya UEFA Europa League ni AnderlechtMan United, Lyon, BeÅŸiktaÅŸ, Ajax, Schalke na Celta Vigo, michezo ya kwanza ya robo fainali ya UEFA Europa League itachezwa April 13 na marudiano ni April 20.
    Ratiba ya robo fainali ya UEFA Europa League 2016/2017

    Jiunge na SeyNation

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI