• Seynation Updates

    Sunday, 23 July 2017

    TOFAUTI YA DK 10. SAMATTA, ROONEY WAFUNGA GENK NA EVERTON ZATOA SARE 1-1.

    Samatta aliifungia Genk bao la kusawazisha dakika ya 55 baada ya mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney kuanza kuifungia dakika ya 45.

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI